Amini au Usiamini...... Utumbo Msafi Ndio Siri Ya Afya Njema!

"HATIMAYE! International Aloe Science Concil (IASC)

yavujisha Juice Asilia yenye uwezo wa kusafisha na kuondoa SUMU zote mwilini mwako Ndani ya siku 30 TU. (Guaranteed)

Kutokana na Ripoti ya Dr. William Harvey.

Juice Hii Ndio sababu Ya Thomas Parr kuishi Miaka 152.

Na

Imethibitishwa na Mamlaka ya Tiba Asili na Tiba Mbadala Tanzania (TNAMRA).

Naitwa Amina Mkazi wa Dar es Salaam!



Mpendwa Msomaji...

Kama unataka kuishi maisha marefu, kuendelea kuonekana kijana na mwenye Afya tele bila hofu ya changamoto za kiafya kama;

-kupata choo kigumu,

-tumbo kujaa gesi,

-Acid reflux,

-bawasiri,

-tumbo kuunguruma,

-vidonda vya tumbo,

-kupata uchovu mara kwa mara,

Basi huu ndio ujumbe muhimu zaidi utakaosoma leo!

Na;

Hii hapa chini ndio stori Ya Thomas Parr.

Westminster Abbay ni kanisa Maarufu zaidi nchini Uingereza...

Lilianzishwa mnamo mwaka 170 A.D

Maana yake! kanisa hili maarufu kwasasa lina miaka 1,835!

Huwa wanatumia kuabudu pamoja na kuzika watu maarufu kama wafalme,mashujaa, wanasayansi na wasanii.

Na,

"Ndipo alipozikwa mtu aliyeishi miaka mingi zaidi Duniani bila kupata matatizo kama uzito mkubwa, Bawasiri, vidonda vya tumbo, choo kigumu, tumbo kuunguruma na kujaa gesi."

Jina lake aliitwa Thomas Parr......

Alizaliwa mwaka 1483 A.D! katika wilaya ya salopp- England.

Na!

Aliishi mpaka November 1635 A.D!

Maana yake aliishi jumla ya "Miaka 152"

Baada ya kifo cha Thomas Parr....

Mfalme Charles alimuajiri Dr. William Harvey kuchunguza mwili wa parr ili kujuwa sababu iliyomfanya aishi mingi kiasi kile....

Na;

Ripoti ya majibu ya uchunguzi wa Dr. William Harvey iliandikwa kilatini na imehifadhiwa mpaka leo kwaajili ya kila anayetaka kuisoma.

Ilisomeka hivi!

"Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula pamoja na utumbo mpana wa Thomas Parr ulikuwa SAFI & Laini kama wa Mtoto Mchanga."

Je Umeshawahi kusikia huu usemi hapa chini ?

"Kifo kinaanzia kwenye utumbo Mpana"

Kauli hii inatoka kwa mwanasayansi wa kirusi anayeitwa "Elie Metchni koff"

Mshindi wa tuzo ya Nabel prize!

Na

Huo ndio ukweli ya kwamba!

Kama unataka kuishi maisha marefu na yenye Afya tele- kitu cha muhimu unachotakiwa kukifanya ni kuhakikisha kwamba:

"Utumbo wako ni Msafi"

Hivi unajuwa kwamba mwili wako ukiwa safi ndani - basi unakuwa safi na nje pia?

Tunaoga kila siku...

Tunapiga mswaki kila siku...

Tunasafisha kucha na kufanya pedicure & Manicure ili tuonekane wasafi...

Lakini!

Wengi wetu tunashindwa kufanya usafi wa ndani wa miili yetu...

Mpaka pale tutakapoanza kupata dalili za magonjwa ya kutuamsha.

Ukweli ni kwamba,

Utumbo wa binadamu (mpana & mwembamba ) ni kama mifereji ya maji taka ya miili yetu,

Na;

Ili kufurahia Afya njema Daima - Lazima hiyo mifereji isafishwe mara kwa mara.

Kwahiyo kama unasumbuliwa na ;

-choo kigumu,

-bawasiri,

-Maumivu ya tumbo,

-uchovu wa mara kwa mara,

-Acid reflux,

-Vidonda vya tumbo,

-Tumbo kuunguruma na kujaa gesi.

Hiyo ni ishara kwamba?

"Una sumu nyingi mwilini mwako"

Na;

Ukweli mchungu ni kwamba;

"Taka mwilini pamoja na mfumo mbovu wa mmeng'enyo wa chakula ni moja ya visababishi vikuu vya changamoto nyingi za kiafya na magonjwa yasiyoambukizwa"

Kwanini ni Muhimu kuwa na Utumbo Msafi?

Ukweli ni kwamba!

Kila siku tunaingiza Maelfu ya sumu Mwilini kupitia njia mbalimbali

bila hata kujuwa, baadhi ya njia hizo ni;

-Vyakula vya mafuta mengi na vya kukaangwa

-Vyakula vyenye kemikali na preservatives nyingi

-Sukari nyingi na vyakula vya fast food (chips)

-Hewa chafu na moshi wa magari

-Kuvuta sigara au kukaa karibu na wavutaji

-Matumizi ya pombe kupita kiasi

-madawa tunayokunywa

-Vipodozi vyenye kemikali kali

Matokeo yake ;

Sumu na kemikali hizo zinaenda kusababisha kuvurugika kwa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, kupata choo kigumu, kuongezeka uzito, homoni imbalance, uchovu wa mara kwa mara pamoja na maumivu ya kichwa.

Sumu hizi zikiingia Mwilini zinatengeneza mazingira rafiki kwa vimelea vya magonjwa kuishi!

Na

Kutokana na jarida la "National geographic" linasema kwamba;

"Vimelea vimeua watu wengi zaidi kuliko vita zote katika Historia ya Dunia"

Lakini;

Habari njema ni kwamba;

Kuna njia Rahisi ya kutoa sumu,kemikali na Vimelea vyote mwilini mwako, kabla havijaleta madhara makubwa ya kiafya!

Na;

Njia hii itakusaidia kutokomeza daima changamoto kama;

"Kupata choo kigumu, Bawasiri, uzito mkubwa, vidonda vya tumbo, Harufu mbaya ya kinywa, uchovu, Tumbo kuunguruma, Tumbo kujaa gesi"

Na;

Hiyo ni kwasababu wataalamu wetu wa Afya wametengeneza Program

Itakayoenda kusafisha utumbo na kuondoa sumu na vimelea vyote hatarishi mwilini mwako inayoitwa.

FOREVER GUT CLEANSE COMBO

"Forever Gut Cleanse Combo" ni Mchanganyiko wa kusafisha na kuboresha afya ya utumbo na mfumo wa mmeng'enyo wa chakula,

kutoa sumu na uchafu wote uliogandamana kwenye utumbo kwa miaka mingi ndani ya siku 14- 30 tu.

Na

Hizi ni baadhi tu ya faida utakazopata utakapoanza kutumia Forever Gut Cleanse Combo.

  • Huimarisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. inaondoa gesi ,acid reflux, kiungulia na kufanya chakula kumeng'enywa vizuri zaidi.

  • Husafisha mwili (Detox) inaondoa sumu mwilini kupitiaini,figo na utumbo hivyo mwili kufanya kazi kwa ufanisi zaidi.

  • Huongeza kinga ya mwili. Ina kirutubisho muhimu kinachoitwa Acemannan ambacho husaidia kuimarisha mfumo wa kinga ya mwili kupambana na maradhi.

  • Huboresha afya ya ngozi, Inasaidia ngozi kuwa laini, yenye unyevunyevu na kung'aa kwa kusaidia uzalishaji wa collagen ndani ya mwili.

  • Husaidia kupona vidonda vya tumbo, inapunguza ukali wa tindikali tumboni na kusaidia uponyaji wa vidonda vya tumbo pamoja na maumivu ya ndani ya tumbo.

  • Huboresha afya ya ini na figo, kwa kusaidia detox, ini na figo zinafanya kazi vizuri zaidi katika kuchuja uchafu mwilini.

  • kuondoa constipation, hufanya mfumo wa choo kuwa wa kawaida na kusaidia utumbo kufanya kazi vizuri.

  • Inaenda kusafisha uchafu na uvimbe wowote tumboni.

  • husaidia kuthibiti uzito, kwa kuboresha mmeng'enyo wa chakula na detox, inaweza kusaidia kwenye safari ya kupunguza uzito.

  • Itakusaidia kupona Bawasili, gesi tumboni pamoja na vidonda vya tumbo kwahiyo utakuwa umeua ndege watatu kwa jiwe moja.

  • Huboresha afya ya kinywa, husaidia kuondoa harufu mbaya ya mdomo, uvimbe wa fizi na kuimarisha afya ya kinywa kwa ujumla.

  • Hupunguza oxidative stress, Ina antioxidants zinazosaidia kulinda seli za mwili dhidi ya uchovu na uharibifu.

Hawa ni baadhi ya waliotumia Forever Gut Cleanse Combo!

Kama unavyoona hicho ndicho walichokipata baadhi ya wahanga wa constipation, Bawasiri, vidonda ya tumbo, harufu mbaya ya kinywa, uchovu wa mara kwa mara, tumbo kuunguruma na kujaa gesi.

Dozi kamili ya kutumia pakeji hii ya "Forever Gut Cleanse Combo" ni siku 30 tu. Baada ya siku 30 tatizo lako linakuwa limeisha kabisa na hauhitaji uendelee kutumia dawa tena kama ilivyokwa dawa zingine.

Matumizi ya pakeji hii ni kama ifuatavyo,

Forever Aloe vera gel unakunywa glass moja asubuhi na jioni nusu saa kabla ya kula chakula.

Forever Active pro B unachukua kidoge kimoja unakunywa asubuhi tu. (nusu saa kabla ya kupata kifungua kinywa).

Forever Field of greens unakunywa vidonge viwili jioni baada ya kula.

Forever Bee propolis unakunywa kidonge kimoja asubuhi na jioni baada ya chakula.

Kwa kufuata maelekezo hayo baada ya siku kadhaa au wiki na kuendelea utaanza kuona mabadiliko kwenye mwili wako.

Pakeji ya "Forever Gut Cleanse Combo" Ina gharimu Kiasi gani?

Tiba za Mfumo wa Mmeng'enyo wa chakula kutoka makampuni mengine dozi nzima huwa 2,500,000/=

Kwahiyo nikisema pakeji hii utaipata kwa 1,800,000/= itakuwa ni bei rafiki sana.

Ukizingatia Forever Living wametumia mabilioni ya pesa kufanya utafiti wa kugundua malighafi zilizotumika kutengeneza pakeji hii ya Forever gut cleanse combo.

na pia utengenezwaji wa virutubisho hivi unatumia teknolojia ya kisasa hivyo gharama zinazotumika kutengeneza pakeji hii zipo juu sana.

Lakini unajuwa nini? Hutalipia hiyo 1,800,000/= Kupata dozi hii ya forever gut cleanse combo.

Pesa utakayolipia haifiki hata nusu ya hiyo 1,800,000/=

Unaweza ukajipatia dozi hii kwa 815,000/=

Dozi ya Forever Gut Cleanse Combo Utaipata Kwa Tsh. 815,000/=

Kuna sababu kwanini nimeamua kutoa punguzo la bei kubwa sana hivyo.

Sababu ni kwamba napata wateja wengi sana kupitia watu ambao wamepona kwa kutumia pakeji hii.

Yaani watu ambao wamepona kwa kutumia pakeji hii wamekuwa mabalozi wazuri wa kuniletea watu wengi wenye changamoto za kiafya.

Kwasababu hiyo ndiomaana nimetoa punguzo la bei ili kukupatia urahisi wa kupata pakeji hii.

Kwakua nina imani 100% pakeji hii itakusaidia kupona magonjwa yote yanayotokana na mfumo wa mmeng'enyo wa chakula hivyo hata wewe utakuwa balozi wangu mzuri wa kuniletea wahanga wengine.

Forever gut cleanse combo inatengenezwa marekani, Kwasasa pakeji ambazo tumebakiwa nazo kwa hapa Tanzania ni Dozi ya watu 150.

Kwahiyo watu 150 watakao kuwa wa kwanza kununua pakeji hii ya Forever gut cleanse combo watapata OFA hii ya punguzo la bei.

Na nitawaweka kwenye orodha ya watu watakao kuwa wanapata punguzo la bei kwa oda zingine utakazoagiza zaidi na zaidi hata kama bidhaa zingine zitaletwa kutoka Marekani.

Baada ya oda hizo 150 kuchukuliwa tutakuwa hatuna dawa zingine kwenye stoo yetu kwahiyo itakubidi usubiri miezi 17 (mwaka na miezi 5) kuja kwa mzigo mwingine wa Forever Gut Cleanse Combo kutoka Marekani.

Kwahiyo chukuwa oda yako Mapema kwasababu zipo Oda za watu 150 tu kwasasa.

Pengine umetumia dawa za aina mbalimbali lakini hazijakusaidia kupona tatizo lako. Zaidi umeishia kupoteza pesa zako bure na unaogopa kuzidi kupoteza.

Naelewa unavyojisikia lakini nakuhakikishia kwamba "Forever gut cleanse combo" itakusaidia kupona tatizo lako na likaisha kabisha!

Na hii ndio GUARANTEE ninayokupa hapa chini.

Tumia "Forever Gut Cleanse Combo" ndani ya siku 30 nina uhakika utaipenda.

Ikitokea kwasababu yoyote ile hujaipenda au usipoona mabadiliko yoyote nje na ndani ya mwili wako baada ya kutumia Forever Gut Cleanse Combo Hii ndani ya siku 14-30 au haijakupatia matokeo yote niliyoyasema hapo juu piga simu 0744440202 kutoa taarifa na utarudishiwa pesa zako zote bila kuuliza swali lolote.

Aidha ukubali uendelee kuteseka kila siku na changamoto zote zinazotokana na sumu kujaa mwilini au uchukue "Forever Gut Cleanse Combo" hii leo na ubadilishe kilakitu ndani ya siku 14- 30 zijazo.

Mpaka hapo Maamuzi Yote Yapo Mikononi Mwako!

Hata hivo nina uhakika utakavyoanza kutumia Forever gut cleanse combo siku hadi siku, wiki hadi wiki utasitaajabishwa kwa matokeo utakayoyapata na wala hutokumbuka tena kuomba kurudishiwa pesa zako hata kama ningekuambia nakurudishia mara mbili ya pesa uliyoitoa.

Unachotakiwa  kufanya kwasasa angalia namna ya kufanya malipo hapa chini kisha jaza fomu ili kutuma oda yako.


Malipo yote yanafanyika kwa njia ya M pesa au Crdb bank.

Namba ya Mpesa 0744440202 jina Amina Seleman.


Namba, ya account CRDB ni 0152-5963-99800 jina Amina Seleman.

Kwa watu wa Dar es salaam gharama ya delivery inategemea na eneo ulipo,


Kwa watu wa mkoani unalipia pesa yote ya dozi kupitia moja ya account za malipo hizo hapo juu halafu utaongezea na 15,000/= kama gharama za kusafirisha mzigo kwa njia ya bus au boat kuja mkoani ulipo ndipo unatumiwa mzigo wako.


Kwahiyo hatua ya kwanza ni kujaza fomu ya kutuma oda ya dozi yako baada ya hapo kama upo Dar unasubiri kuletewa siku uliyochagua na…


Kama upo mkoani baada ya kujaza fomu unafanya malipo kwanza ya gharama ya dozi na gharama ya kusafirisha halafu baada ya hapo mzigo wako unatumwa mkoani ulipo kwa njia ya bus au boti(wale wa zanzibar).


Tuma risiti ya malipo au message ya muamala wako kwa whatsapp 0744440202



KUJAZA FOMU NI RAHISI.

Bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa “ODA YANGU” Baada ya kubonyeza sehemu hiyo itafunguka fomu ya kujaza taarifa zako na kutuma oda yako.

(Taarifa zako zitatunzwahatakuwepo mtu mwingine tofauti na mimi atakayejua kuhusu tatizo lako).


Bonyeza sehemu hii sasa hivi.



Ahsante kwa muda wako.



Ni mimi mwenye kujali Afya yako,



Amina!

+255744440202.



P.S:Kama nilivyokuambia zipo oda 150 tu kwa sasa.



Saa iliyopo hapo chini itakaposoma sifuri maana yake oda zote zimechukuliwa na tangazo hili hautoliona tena mpaka pale tutakapopata mzigo mpya na kuanza kutangaza kwa mara nyingine tena.



Kwahiyo, usiendelee kusubiri wakati suluhisho la tatizo lako liko mbele yako. Tuma oda yako mapema kabla hujawahiwa.



This site is not a part of the FacebookTM website or FacebookTM Inc. Additionally, this site is NOT endorsed by FacebookTM in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM,inc.